“Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,” asema Bwana, “ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru, ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo.” Yeremia 29:11
Anza
Uliumbwa kwa ajili ya makuu. Tuanze.
Akaunti yako inaweka safari yako, mistari uliyohifadhi na maombi yako mahali pamoja. Ni bure daima.